written interview ya atomic energy commision post ya nuclear scientific research , hivi ninyi watu wa utumishi mlikuwa na lengo la kupima uwezo wa watu wa kufanya kazi au la kuwakwamisha kwasababu mlikuwa na watu wenu tayari? masawli mmetunga ya ajabu na watu wanaofanya usaili ni wa different profession, kuna wa environmental science, geology, physics, chemistry mnatoa mtihani unabase kwa profession moja hao wengine wajibu nn si bora msingewaita? mtu wa environment au geology maswali ya physics ya chuo kikuu very complicated not relevant to the duties mlikuwa na lengo gani? Same job same duties different profession toeni masawali ambayo geologist atajibu, environmental scientist atajibu, nuclear scientist atajibu ,radiologist atajibu mkibase ktk profession moja wengine msiwaite kabisa.