Interview ya Bagamoyo university inaendelea sasa hivi wana JF

PAFKI

Senior Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
116
Reaction score
38
Ndg zangu 2po 2nasubiri kuingia interview hapa ofisini kwao,msikate tamaa ambao hamjaitwa kwan wanaita kwa makundi,muda na cku tofauti.leo ni zamu ye2 2torial ass na cashier ambao wanamalizia kuitwa.
 
ndg zangu 2po 2nasubiri kuingia interview hapa ofisini kwao,msikate tamaa ambao hamjaitwa kwan wanaita kwa makundi,muda na cku tofauti.leo ni zamu ye2 2torial ass na cashier ambao wanamalizia kuitwa.
poa mkuu tunaomba utujuze nini kitakachoendelea huko
 
Nashukuru kwa taarifa, ila sijakuelewa vizuri umesema kuwa leo ni zamu ya tutorial assistants, so ni wote au wengine wataitwa siku zitakazofuata? wewe uliomba kwennye college ipi mkuu?
Ndg zangu 2po 2nasubiri kuingia interview hapa ofisini kwao,msikate tamaa ambao hamjaitwa kwan wanaita kwa makundi,muda na cku tofauti.leo ni zamu ye2 2torial ass na cashier ambao wanamalizia kuitwa.
 
ofisi zao ziko wapi?na chuo kipo wapi pia?
 
Niliomba collage ya science,informatics & built environment.lakin naona wa2 wanakuja kwa mafungu hata cjui wameitwa kazi gani mkuu.tatizo hakuna short list inayoonekana bali walimpigia cm kila aliekuja hapa
 
Nashukuru kwa taarifa, ila sijakuelewa vizuri umesema kuwa leo ni zamu ya tutorial assistants, so ni wote au wengine wataitwa siku zitakazofuata? wewe uliomba kwennye college ipi mkuu?

mkuu PAFKI tujuze utaratibu uliopo huko,hata post za TA wanaita kwa awamu au ndo wameshaita post za Ma TA wote?
 
ofisi zao ziko wapi?na chuo kipo wapi pia?

panda magari ya kawe kutoka magomeni shuka ki2o cha warioba,ha2a kumi mbele kuna barabara kushoto pana contena la ccm,nyoosha hadi mwisho kuna geti jeuc,nyuma kidogo kulia uaona kabango kao.
 
mkuu PAFKI tujuze utaratibu uliopo huko,hata post za TA wanaita kwa awamu au ndo wameshaita post za Ma TA wote?

kaka ni ngumu kufahamu maana inaonekana kila m2 kapangiwa muda wake,sema 2 cc TA wa science ha2jafanyiwa kunam2 wanamsubiri ila kila baada ya dkk 15 anaingia m2
 
Field ya education kwny upande wa tutorial wameshaitwa,coz niliomba kakini kimya.nijuze
 
Nimegundua kuwa wanaita kwa group la kazi zilizoombwa,jana walikuwa TA wa collage of science,informatic na Env, nadhani wanaendelea kuita maana leo wanaenda ma lab technicians kwa hiyo kundi au kazi yako ikifika utaitwa.
 
Mdau isiwe shida maana mm mwenyewe ni mlala hoi tu,cna hata chembe ya mahusiano na hata mfagiaji wao niliitwa ni iman yako tu kwa nackia wengine wametoka hadi musoma na class met wangu wawili nilikutana nao sasa onasema nn?
 
Hivi bwana Pafki pannel ilikuaje wanataka wafanyakazi kweli au ndo hivyo tena
 
wadau bado mambo nasikia yanapamba moto unawaka huko ub
 
poa kaka,nakutakia mafanikio mema,cyo ukipata job ndo utukimbie humu kama wengne?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…