F Ford Member Joined Oct 21, 2011 Posts 9 Reaction score 2 Nov 6, 2011 #21 Jamani ivi amjasikia kama udsm wameita watu interview mana walito nafasi alafu wamepiga kimya.Wadau mnaniambije kuusu hivi
Jamani ivi amjasikia kama udsm wameita watu interview mana walito nafasi alafu wamepiga kimya.Wadau mnaniambije kuusu hivi
JamboJema JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 1,143 Reaction score 209 Nov 7, 2011 #22 Mie wala sijaitwa....na nilivyokwisha omba kazi sehemu nyingi hata sikumbuki niliwaomba kazi gani...wakiniita pouwa tu, wakinitosha Mungu awazidishie pia...Mtakaopata mtukumbuke na sie kwenye ufalme wenu!
Mie wala sijaitwa....na nilivyokwisha omba kazi sehemu nyingi hata sikumbuki niliwaomba kazi gani...wakiniita pouwa tu, wakinitosha Mungu awazidishie pia...Mtakaopata mtukumbuke na sie kwenye ufalme wenu!