Interview ya gepf udsm hali ni mbaya sana!!!!!!!!!!!!!!!!!!

tabu kuishi

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2011
Posts
353
Reaction score
43
Nimepita mitaa ya udsm karibu na yombo 5& 6 watu ni wengi wanaosubiri kufanya interview ni zaid ya watu 1000 post zenyewe sidhani kama zinazidi 5 au 6! Kwa hali ile kweli kazi ipo kwa wasio na ajira/
 
hujafafanua vizuri wanowawania hizo ajira ziko upande upi kitaaluma
 
Ndiyo hali halisi ya soko la ajira lilivyo bongo hii
 
nimepita mitaa ya udsm karibu na yombo 5& 6 watu ni wengi wanaosubiri kufanya interview ni zaid ya watu 1000 post zenyewe sidhani kama zinazidi 5 au 6! Kwa hali ile kweli kazi ipo kwa wasio na ajira/
kweli jambo usilolijua ni sawa na usiku wa giza!
Kwa taarifa yako watu hawakuwa wengi kihivyo
kama tulivyozoea.
Kama pale yombo 5 kule kulikuwa na wenye nafasi
za uhasibu,uhasibu usaidizi, legal officer na procurement
officers.
Hiyo yombo 6 sijui kulikuwa na sekta gani,ila ilikuwa tofauti
kabisa na hiyo yombo nyingine.
Hivi ulikwenda nhif! Nafasi zilikuwa ni 4 za uhasibu usaidizi
lakini nyomi ilikuwa ni balaa
 
stil watu ni weng, i waz there, ac nafasi 1, as ac 3, uwiano haupo hapo,
 
ha haa...
na ule mtihani sasa ulivyokuwa mgumu...
post yangu nafasi moja ,waliokuja 46!
 
Yote ya yote mi nafurahi coz ni kama SULLIVAN SUMMIT vile uliyesoma nae chekechea, msingi, secondary,chuo, jamaa wa uswahilini.
Hlf mambo haya tushazoea ila assistant accountant ni nafasi nane si haba.
 
naomba hints za maswali ya psrs especially idara ya afiasa taaluma
 
Ni kweli katika interview watu siku zote wanakuwa ni wengi sana hii yote ni matokeo ya jinsi gani graduates tulivo wengi katika utafutaji wa ajila japo pia ni jukumu la kila mmoja wetu kujiandaa katika mapambano hayo ya kutafuta ajira.Kweli vijana wenzangu hali ni ngumu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…