Scorpio Me
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 6,119
- 7,934
Yawezekana alikua anaganga njaa tu na hakua na kibali cha kazi nchini...Alikua producer sio msanii, ndo mana hakutaka kuonekana, nimemnukuu so now msanii?kwel hakuwai kufatwa na media hata one day
Ila jamaa alikua noma sana. Enzi zile mziki ulivyokua mziki.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sema kiswahili anashindwa kujieleza kwa upana wake anapungukiwa maneno lakini ana maana pana sana. And by the time media haikuwa ina deal sana na producers nk, hata akina master j walifahamika tu majina sio sura.Alikua producer sio msanii, ndo mana hakutaka kuonekana, nimemnukuu so now msanii?kwel hakuwai kufatwa na media hata one day, ila jamaa alikua noma sana. Enzi zile mzik ulivokua mziki.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee nashangaa naposikia watu wanasema walikuwa hawajui kama miika mwamba ni mthungu. Kuna picha zake fulani kipindi hiko ananyoa upara zilikuwa zinatumika ktk magazeti sana, mwanzoni mwa miaka ya 2000. kma sikosei hata seba alishawahi kumuhoji kipindi yupo redio uhuru, moja ya interview chache za Miikka Mwamba.Sema kiswahili anashindwa kujieleza kwa upana wake anapungukiwa maneno lakini ana maana pana sana. And by the time media haikuwa ina deal sana na producers nk, hata akina master j walifahamika tu majina sio sura
Hapa leo nikikuuliza produre Roy wa G records aliegonga beat kama mapozi, blublue, baridi kama hii ya enika, Aisha ya parklane na Chungwa ya Suma lee unaweza usimjue sura na wengi hawamjui mpk anafariki
Sasa millard Ayo enzi hizo alikuwa kwao huko kishimundu, mjini kaja juzi. Mika magazeti hata ya kina shigongo yalikuwa yanaweka picha zake sana tu. Alikuwa anapenda kuvaa na miwani myeusiAisee nashangaa naposikia watu wanasema walikuwa hawajui kama miika mwamba ni mthungu. Kuna picha zake fulani kipindi hiko ananyoa upara zilikuwa zinatumika ktk magazeti sana, mwanzoni mwa miaka ya 2000. kma sikosei hata seba alishawahi kumuhoji kipind yupo redio uhuru,moja ya interview chache za miika mwambw
Absolutely true!!!!Sema kiswahili anashindwa kujieleza kwa upana wake anapungukiwa maneno lakini ana maana pana sana. And by the time media haikuwa ina deal sana na producers nk, hata akina master j walifahamika tu majina sio sura
Hapa leo nikikuuliza produre Roy wa G records aliegonga beat kama mapozi, blublue, baridi kama hii ya enika, Aisha ya parklane na Chungwa ya Suma lee unaweza usimjue sura na wengi hawamjui mpk anafariki
Hahaha long time sana. Asee haya maisha hakuna jipya kwakaweli,ni kama matukio ya juzi tu hapa kumbe ni zaidi ya miaka 15,ukiambiwa utoe historia yako kwa kipindi chote hiko ndani ya dk kadhaa umemaliza kila kitu.Sasa millard Ayo enzi hizo alikuwa kwao huko kishimundu, mjini kaja juzi. Mika magazeti hata ya kina shigongo yalikuwa yanaweka picha zake sana tu. Alikuwa anapenda kuvaa na miwani myeusi