Interview ya nafasi ya meneja jtau, naombeni ushauri.

Interview ya nafasi ya meneja jtau, naombeni ushauri.

Gurti

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2010
Posts
211
Reaction score
59
Wakubwa heshima mbele,
Nina mdogo wangu ambaye yuko ktk nafasi ya Project Coordinator, sasa nafasi ya bosi wake imetangazwa na anataka kusogea hatua moja mbele ili awe Meneja. Naombeni ushauri wenu wowote, maana jana ndo kapigiwa simu ili tumpe support.
Wenu ktk ujenzi wa Taifa.
 
Sorry kichwa cha habari kiwe hivi;
INTERVIEW YA NAFASI YA MENEJA JTATU/ JUMATATU NAOMBENI USHAURI WENU.
 
Mwambie kwanza haondoe hofu kwani ana nafasi kubwa ya kupata hiyo kazi.
 
Sorry kichwa cha habari kiwe hivi;
INTERVIEW YA NAFASI YA MENEJA JTATU/ JUMATATU NAOMBENI USHAURI WENU.
Mkuu umeneja jina ama na mfuko unaongezeka?
Angalia masilai kwanza....usijeukajikuta majukumu mengi ''pay'' kidogo...labda kama unapata career growth.
 
Duh meneja anataka kuomba ushauri. Ushauri gani sasa hapo? Yeye anafanya kazi hapo muda wote na anayajua mazingira fika ikiwamo strength na weakness za Organisation na anajua fika mission na vission za Organisation, sasa anataka ushauri kutoka kwa watu wa nje ya Organisation? Mie nadhani hayupo tayari, ni vyema akae pembeni.
 
Ukute hiyo nafasi wala si yake imetangazwa nje pia atakuja boss mpya.maana yaonekana hajiamini hadi ameanza kuweweseka kuomba msaada watu wasiohusika!
 
Ukute hiyo nafasi wala si yake imetangazwa nje pia atakuja boss mpya.maana yaonekana hajiamini hadi ameanza kuweweseka kuomba msaada watu wasiohusika!
Ni kweli maana misaada mingine hata cyo misaada, unadhihirisha jinsi gani uko sharo, sasa anataka msaada upi hapo wakati anajua kazi boss wake alizokuwa akizifanya????, Utopiana
 
HI,

Mwambio asome hilo file lina techniques za kujiandaa na interview

I hope it will help..

Sandet
 

Attachments

Back
Top Bottom