Mkuu umeneja jina ama na mfuko unaongezeka?Sorry kichwa cha habari kiwe hivi;
INTERVIEW YA NAFASI YA MENEJA JTATU/ JUMATATU NAOMBENI USHAURI WENU.
Ni kweli maana misaada mingine hata cyo misaada, unadhihirisha jinsi gani uko sharo, sasa anataka msaada upi hapo wakati anajua kazi boss wake alizokuwa akizifanya????, UtopianaUkute hiyo nafasi wala si yake imetangazwa nje pia atakuja boss mpya.maana yaonekana hajiamini hadi ameanza kuweweseka kuomba msaada watu wasiohusika!