elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,261
- 9,733
kweli kwa namna alivyoongea mambo anajielewa kidogo kuliko wasanii wengi wa bongoLeo nimemsikiliza huyu jamaa uwa simpendi ila leo nimemwelewa na sidhani kama ni wakutupiwa lawama juu ya hili bifu lake na diamond.
Hongera wewe kwa kuwa mtu mimi ni lijitu kama ulivyosemaNdio umendika nini???!! Sasa!? Mijitu minginee!!!! Bana!!!
Hata mimi nilidhani ataenda toa povu lakini kaongea kiutu uzimaHata mm nimemuelewa sana,ameonesha ukomavu,ustaarabu na hakuhemkwa kama walivyotarajia wengi,big up poz kwa poz