Interview ya Ommy Dimpoz: Bifu lake na Diamond, hastahili lawama

Sidhani kama ugomvi wa Diamond na Dimpoz ulikuwa mkubwa hivi kabla Dimpoz hajafanya kolabo na Kiba,kwenye huu ugomvi Kiba ndio anaibuka mshindi
 
Hakukuwa na mamna tena,zaidi ya kujishusha na kuongea kwa upole ili aonewe huruma,maana ile kashfa ya ushoga siyo ya kitoto[emoji38]

Mbona hajasema kama Diamond alimkopa million 10 na mpaka leo hajamlipa?!Ommy huwezi kuwa msanii bora kwa kutafuta kiki kwa Dee.
 
Povu litoke wapi wakati amekamatwa kila mahali,Dimpoz alichochemsha ni kujiunga na Ally Kiba kumponda Diamond public
Lakini kwa maelezo yake alikuwa anafahamiana na ally way back hata ngoma hake ya kwanza si alimshirikisha ally.
Ila kaongea akiwa ametulia labda tusikie upande wa pili pia watasemaje japokuwa sijaona alipowashambulia ila kaongea mambo yaliyo mkwaza akaona kama diamond anaweka gape baina yake na yeye
 
Ulisikia ile kashfa ya gazetini kwamba jamaa anamlala mama yake kila jumatano ili asishuke kimziki?kashfa kubwa sana kwa D
 
cloudz wachonganishi sana!
haikuwepo haja ya kuwaita tofauti..
kwanini wasingewaita wote jana
kila mtu akajieleza..
wakakosoana

kesi za upande mmoja ngumu kuzijudge kwakweli
zingerushwa ngumi, yani unakutana na mtu ambae jana kasema unapumuliwa and the like...alafu ilikua sawa this way maana unapata kusikia story za pande zote mbili bila majibizano then hayo mengine ndio yanafuata...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…