Interview ya Ommy Dimpoz: Bifu lake na Diamond, hastahili lawama

Lilikuwepo swali la Kuwa D alikataa kumpumulia MKUU!!
 
Nimekuja kugundua diamond ana roho mbaya aiseeee,big up ommy
Kwa mtu kama wewe hutarajiwi kuongea tofauti na hicho manake ulishaonesha sura yako halisi zaidi ya miaka miwili iliyopita: Kinyume chake, ndo kwanza anazidi kupiga show za nje ya mipaka!! Tukimalizia na hii:
Ulisikia ile kashfa ya gazetini kwamba jamaa anamlala mama yake kila jumatano ili asishuke kimziki?kashfa kubwa sana kwa D
Unaonesha wazi upo mkao wa kula kushadadia baya lolote hata kama ni la kipuuzi! Hebu weka hapa hilo "gazeti" kama si kwamba unazungumzia vigazeti vya udaku!!!
 
Atashindwaje kua mstaarabu wakat mond kamwaga mboga angetokwa povu tu angeanikwa kweupeeee na bado ndio dawa ya waropokaji nani alimuanza mwenzie izo sympathy zako kwenye interview hazitabadilisha ukweli wa upunga mrs mwarabu ommy msambwanda leo ndo umeshika adabu eeh siulijifanya kujitoa akili kumdiss mond unabahat umejishusha tungeanika kila kitu ebooo moto umewasha mwenyewe na unakuunguza tungemwaga mpaka audio zako unabahati haya kampikie mwarabu huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…