ndyoko JF-Expert Member Joined Nov 2, 2010 Posts 4,971 Reaction score 1,652 Jun 21, 2012 #1 Hivi wahusika wa hii post walishaitwa au bado wakuu? Nijuzeni tafadhali
E Eberhard JF-Expert Member Joined Dec 20, 2010 Posts 1,153 Reaction score 809 Jun 21, 2012 #2 kaka chance hizi wanagawana wenyewe. Hata mimi niliapply.
Ndechumia JF-Expert Member Joined Jul 15, 2011 Posts 1,164 Reaction score 573 Jun 21, 2012 #3 ni ajab watu wanatangaza kaz kwa gharama kubwa, tunapoteza mda na resource nyingi kuomba, alaf hawa ajiri, hii ni kukatishana tamaa
ni ajab watu wanatangaza kaz kwa gharama kubwa, tunapoteza mda na resource nyingi kuomba, alaf hawa ajiri, hii ni kukatishana tamaa