Interview ya Project coordinator Plan ifakara vipi?

ndyoko

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2010
Posts
4,971
Reaction score
1,652
Hivi wahusika wa hii post walishaitwa au bado wakuu?

Nijuzeni tafadhali
 
kaka chance hizi wanagawana wenyewe. Hata mimi niliapply.
 
ni ajab watu wanatangaza kaz kwa gharama kubwa, tunapoteza mda na resource nyingi kuomba, alaf hawa ajiri, hii ni kukatishana tamaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…