Interview ya utumishi tar. 15 - 18/05/2012 matokeo lini mana jf

Mwigigi Juani

Member
Joined
Mar 23, 2012
Posts
42
Reaction score
9
Kwa yeyote anayejua naomba atujuze kama anajua lolote maana ni muda kama wiki 2 sasa naona kimya.
 
Punguza mzuka na vuta subira huwa inawachukua muda kwa watu wa serikalini ukizingatia huu ni mwezi wa bajeti.....wiki 2 bado sana labda mwezi wa saba ndio wataita...fuatilia pia website yao ya utumishi huwa wanatoa matangazo kwa walioitwa kazini
 
tulia tulia mkuu mambo bado hadi bajeti ya nchi ipite mwezi wa 8 ndo uanze kusikilizia
 
Ukiona manyoa ........................ Ila kimya kingi kina mshindo
 
Mkuu hiyo ya tarehe 15-18 May itakuwa bado sana maana hata waliofanya ile Interview ya tarehe 18-21 April bado wapo kitaa nadhani. Be patient bro!! hayo ndo mambo ya serikali na hapo unaweza kukuta hadi bajeti hii ipite halafu watu wataitwa.
 
serikali ya kizembe sana tangu April tunasubiri tu,na wao wanazidi kutangaza kazi zngne bila kuita wa 1st tym,hii maana yake nini??!hata kama kuita kazini itakua mwezi wa nane cha msingi ni kutoa matokeo ya interview watu tujue mbivu na mbichi tujue la kufanya..
 
Wakuu mbona watu washaanza kazi, nyie bado mnasubiria tu. Ukiona manyoya ujue tayari kshaliwa huyo.
 
Wakuu mbona watu washaanza kazi, nyie bado mnasubiria tu. Ukiona manyoya ujue tayari kshaliwa huyo.

Acha uzushi we nyambafu nini...watu wako siriazi we unaleta upuuzi wako nenda huko ktk jukwaa la umbea na udaku....nyaaaambaf
 
Acha uzushi we nyambafu nini...watu wako siriazi we unaleta upuuzi wako nenda huko ktk jukwaa la umbea na udaku....nyaaaambaf

i wonder why people are always nt serious when it kems to criaz issues..i real do!
 
Acha uzushi we nyambafu nini...watu wako siriazi we unaleta upuuzi wako nenda huko ktk jukwaa la umbea na udaku....nyaaaambaf

Asante sana kwa matusi yako. We endelea tu kusubiri, ukipata njoo utuambie hapa JF.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…