Interviews za Ali Kiba zinaboa; Yeye kwake kila kitu ni "Personal"

SirBonge

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2010
Posts
378
Reaction score
435
Tofauti na masuper wengine ambao ukiangalia interviews zao mtazamaji utajifunza kitu kutoka kwake, na ataku-inspire kwa namna moja au nyingine.
Huyu mheshimiwa, kati ya maswali 10 atakayoulizwa atajibu 2 tu!

Yeye kwake kila kitu nni PERSONAL... Aaagrh, wewe ni msanii mkubwa bwana, watu wanapenda kujua na kujifunza kutoka kwako including some of your personal life stories (Sio kila kitu off course cha kuweka hadharani) lkn kwako ni too much!

Sasa umejipeleka mwenyewe kwenye vipindi kama LEO TENA na SHILAWADU, na unajua kabisa aina za interview ambazo huwa zinafanyika kule, matokeo yake kila saa unatishia kuondoka...

THIS IS TOO LOW BROTHER!
 
Nilimsikiliza pia wakati akiwa na mke wake asubuh, mke akiulizwa swali jamaa anakataa ... Watangazaj wamejitahid kuifanya ionekane utan lakn nafkir pia kuna some disappointments walipata!
Ally Kiba anapaswa kubadilika sana kwenye hili maana ni dhahir ana majivuno yasiyokuw na msingi kabisa, bado hajafika. [emoji124][emoji124]
 
Kidogo kidogo nimeanza kusikiliza muziki wake. Ila yeye bado saana, Ally Kiba ana majivuno ya Kishamba.
Sio majivuno ya kishamba.

Ally ana limited exposure kwenye mambo mengi ukijumlisha na shule ndogo unaona kabisa tatizo alilonalo.

Mtu anaweza kua na shule ndogo ila akawa na expisure kubwa kama Diamond, lazima atabadilika na uwezo wake wa kuelewa mambo utapanuka. Hata waswahili husema kuzaliwa mjini ni sawa na kusoma form six, sio kwamba mjini kuna elimu ya bure, hapana, exposure inayotokana na mazingira ya mjini sio sawa na bush.

Ally ni mswahili na hataki uswahili umuache, hakuna tofauti kati ya Ally na Hamorapa, wote wana majina makubwa ila limited exposure.

Sio kwamba Ally anaringa, hapana, ni ushamba ukijumlishwa na uelewa mdogo wa mambo kuhusiana na hadhi yake.

Ushamba ni mzigo.
 
Daaaah.
Hayo maelezo yako nikajua una mu explain Jiwe
 
Yaani pale ndio alivurunda kabisaaaaa!
 
Exposure! Huo ndio ukweli
 
Naunga hoja mkono
SWALI MTANGAZAJI: Mlikutanaje na Ali Kiba
ALI KIBA: Usijibu hilo swali utanianika
MTANGAZAJI: Tunataka kujua tu Ally
ALI KIBA: Hapana usijibu mwanaume ndo anamfata mwanamke

Ningekua mimi ningemfukuza na hiyo sikukuu ingeishia hapo

Kinachomuweka Kiba ni roho mbaya za wabongo kwa Diamond ila Kiba kwa domo ana mengi ya kujifunza [HASHTAG]#Mofayagwanyoko[/HASHTAG]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…