Intoduction

Intoduction

NoTears

Member
Joined
Apr 1, 2013
Posts
66
Reaction score
15
Habari wakuu, naombeni mnipokee ndani JF, natumai kupata ushirikiano kama nilivyoshuhudia ushirikiano wa kimawazo nikipitia kabla ya kuchukua uamuzi wa kujiunga.
Nawatakieni heri na baraka tele
 
Karibu mgeni.
 
na wewe pia
 
.........no fear, karibu jamvini!!!
 
Back
Top Bottom