Karibu mgeni.Habari wakuu, naombeni mnipokee ndani JF, natumai kupata ushirikiano kama nilivyoshuhudia ushirikiano wa kimawazo nikipitia kabla ya kuchukua uamuzi wa kujiunga.
Nawatakieni heri na baraka tele
Heshima yako mkuu.Karibu sana jamvini.
Habari wakuu, naombeni mnipokee ndani JF, natumai kupata ushirikiano kama nilivyoshuhudia ushirikiano wa kimawazo nikipitia kabla ya kuchukua uamuzi wa kujiunga.
Nawatakieni heri na baraka tele
na wewe pia
Habari wakuu, naombeni mnipokee ndani JF, natumai kupata ushirikiano kama nilivyoshuhudia ushirikiano wa kimawazo nikipitia kabla ya kuchukua uamuzi wa kujiunga.
Nawatakieni heri na baraka tele