karibu sana. Tunaomba ukiwa humu ubadilike sababu hauruhusiwi kuandika kiingereza cha namna hiyo. hayo mambo yapo facebook sio jamiiforums. Kama huwezi kuandika kingereza andika kiswahili sababu asilimia kubwa tutakuelewa. karibu sana na punguza mapepe. sawa sawa?