St. Paka Mweusi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2010
- 7,956
- 5,149
Salaams wandugu wakubwa kwa wadogo naomba nami nijitambulishe kama member mpya jinsia yangu ni mwanababa na nipo nje ya nchi kwa kipindi kidogo natumai tutashirikiana na wakati mwingine kupishana kimawazo katika kuendeleza uelewa na upashanaji habari :lol: