hongereni ma moderator wapya, na shukrani wale wazamani na ambao bado wanaendelea, karibuni muumizwe vichwa!!
hongereni ma moderator wapya, na shukrani wale wazamani na ambao bado wanaendelea, karibuni muumizwe vichwa!!
Shukrani Nyote. Natumaini Tutashirikiana Ipasavyo.
Hicho kitambulisho chako ni tosha kimenivunja mbavu maana nilidhani ni Panadol ama Aspirin sijui ni dawa gani hizi.
Kweli!
Lkn zile za pale juu kama zimefanana na zile wakamatwazo nazo wameficha tumboni alafu wanatuonyesha kwenye TV.Lakini poa tu zote dawa!JK (just kidding)
All in all,karibuni WAKUU wapya!
Ni Vizuri Ungeweka Cv Zao Ili Iwe Vizuri Kuuliza Maswali Mengine Tutambue Wanaelewa Lipi Na Lipi
Manake Wakati Mwingine Brutus Anaweza Kuja Kuweka Comment Yake Katika Ict Wakati Yeye Sio Mtaalamu Au Picassa Aende Katika Afya Na Kufanya Edit
Ma MoD wanafanya kazi kama baraza la mawaziri... wanateuliwa at the pleasure of "Robot"...
...How does someone being trusted by robot that can serve into panelist like JF