Introducing New Range Rover Sport

Hivi bado mmiliki ni TATA?
 
Yes ni kweli kabisaa!!! Kumbuka Tata motors ni waingereza pia
Ni ya TATA group ambayo mmiliki ni Ratan Tata mhindi. Huyu mhindi taarifa inasemekana angekuwa mmoja kati ya watu matajiri sana labda hata wa kwanza ila faida kubwa ya kampuni yake inatumika katika kufund shughuli za kijamii dunianj kama elimu, afya n.k duniani na yeye mapato anayochumiliki ni sehemu ndogo sana ya faida.
Ila kwa ufupi Tata group ni kampuni ya mhindi
 
Umeikubali sana nini mkuu?
Hata usiprobe sana, utakuwa disapointed.

Lakini anyway: Kufikiria mara moja unajiangalia wewe tu kutimiza mahitaji/matakwa yako bila kujali mwingine.☝

Unapofikiria kitu level ya golden rule unakuwa umefikiri mara mbili.✌

Kufikia mara tatu unakuwa umeuniversalize your principles. Aan umefikiria sio wewe tu ufanye, au ufanyiwe bali kila mtu itafaa aenende hivyo. Jiniazi, god level hii.

Mambo ya carbon footprint ndo yapo levo hizo sasa. Ndo maana nimeappreciate.

Kiufupi ni kwamba mentality, hizo za responsibility kwa vizazi na vizazi inakupa ruhusa ya kuishi mbinguni.

Umeona sasa nishakudisappoint 🤭🤣🤣🤣

To neutralize it basi bro consider heaven to bebjust like some high level civilization imaginable. Basi ndo mnatakiwa watu kama nyie. Ova.
 
Nimekuelewa sana mkuu.

Wala hujani disappoint.

Shukurani sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…