User TZ
Member
- Nov 14, 2018
- 5
- 4
Naitwa Ian Christopher ni member wa muda kidogo sema sikua active kama sasa, ninafurahi kuwa hapa na nitashukuru kwa ushirikiano wenu nyinyi members, na pia ni msanifu ujenzi (Architect) mnaweza nicheki kwa michongo ya nature hiyo: Design za ramani ya nyumba, Ujenzi na Free advise through 0657274202 ianismcris@gmail.com .