K kanyika Member Joined Nov 21, 2009 Posts 14 Reaction score 0 Nov 23, 2009 #1 Hi! wana JamiiForum Wasalaam, ninayo furaha kubwa kuungana nanyi katika hili libeneke la kupatiana habari nini mwenzenu Kanyika
Hi! wana JamiiForum Wasalaam, ninayo furaha kubwa kuungana nanyi katika hili libeneke la kupatiana habari nini mwenzenu Kanyika
MaxShimba JF-Expert Member Joined Apr 11, 2008 Posts 35,771 Reaction score 4,065 Nov 24, 2009 #2 Karibu ndani ya JF Hapa ndipo sehemu pa kusema ukweli na ukweli mtupu.
FirstLady1 JF-Expert Member Joined Jul 29, 2009 Posts 16,789 Reaction score 5,401 Nov 25, 2009 #3 karibu sana tuko pamoja