Intuition inaniambia simba inatinga nusu

Intuition inaniambia simba inatinga nusu

Sijui ni nini hiki ila kila mda thoughts zinakuja eti simba ameshinda kuingia nusu. Wametoka 1-0 then matuta akashinda ayoub katoa mikwaju miwili.....

Huu mpira addictive sana! #nguvu_moja
Ayoub hyu huyu Lakirane au ?! ndoto za mchana sio nzuri.....tafuta msosi ule, unaonekana njaa imekukamata balaaa.
 
Hapana mkuu, najua simba kwa alahly ni ngum kuchomoa... ila kila nikikaa kidogo tu mawazo ya simba kushinda hayoo kichwani...
Siku ile kwa Mkapa wangetoa hata draw tu, kulikuwa na % fulani za kuvuka daraja.... Ila mhm..
 
Ni ngumu sana kutokea hyo...hapo unabahatisha tu na umeweka ka kizungu kidogo ili ikae kisomi zaidi
 
Back
Top Bottom