Intuition inaniambia simba inatinga nusu

Hv nyie si ndo robo ya kwanza, af mbona msimu jana tulifika na timu ilikua mbovu zaid? Hizi hatua zinawenyewe yanga game ya kwanza walikua wanawasoma tu, mtaogelea vyuma vingi tu kesho.
 
Hv nyie si ndo robo ya kwanza, af mbona msimu jana tulifika na timu ilikua mbovu zaid? Hizi hatua zinawenyewe yanga game ya kwanza walikua wanawasoma tu, mtaogelea vyuma vingi tu kesho.
Makolo mna advantage , uto tunacheza saa 3 usiku, nyie saa 5, uto tukishinda goli 3 walizoahidi wachezaji ili kujipatia kitita chao cha mil 345 , makolo watapindua meza na kuichakaza Al Ahly 5-0 ili kumkamua kanjibhai alieleta masihara kwenye mpira na ahadi hewa ya danganya toto ya mil 500 eti Simba wakishinda njaa huko Cairo!!!πŸ˜‚
 
Na kuna shabiki wa Al-ahly nae kuna intuition inamwambia ya kwamba timu yake itafuzu nusu fainali pia###SasijuiItakuwaje###
 
Na kuna shabiki wa Al-ahly nae kuna intuition inamwambia ya kwamba timu yake itafuzu nusu fainali pia###SasijuiItakuwaje###
Vita vya intuition sasa, ila ya mnyama simba ni kali.
 
Mpira una matokeo katili sana, Simba anaweza kusonga Mbele na Young Africans kuondoshwa
 
Mnamfunga nani hizo goli 3? Emb Acha kujifariji Mamelodi washamaliza mechi kitambo mbona, game ya kwanza ilikua fitness challendge kwao ndo maana possession waliwazidi. Nyie mkaingia mtegoni kufikiri mmewaweza 🀣, bro hata kama wote kusipo fuzu lazima utopolo apoteze kwa goli nyingi kuliko mnyama. Yule kocha anaakili sana kasha muwin gamondi kiakili hv ww unafikiri mamelodi wachovu kias hicho? Ile droo mlipewa kimtego tu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…