Invalid transaction id

brobiz

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2012
Posts
619
Reaction score
838
Waungwana kwa aliyekutana na tatizo ttz hili tafadhali aniambie alitatua vp ni mda mrefu ss kila nikisubmit code ya mpesa majibu yanakuwa ivyo na kila nikipiga namba yao ya help desk iko busy msaada wenu wadau niliomba special prog.ya udom
 
Ukisubmit sasa itakubali kwani wameifungua baada ya kuongeza muda wa kuomba mkopo kwa muda wa majuma mawili kuanzia tarehe 29/09/2014.

Namimi nilikuwa na tatizo hilo lakini sasa limeisha...
 
Ukisubmit sasa itakubali kwani wameifungua baada ya kuongeza muda wa kuomba mkopo kwa muda wa majuma mawili kuanzia tarehe 29/09/2014.

Namimi nilikuwa na tatizo hilo lakini sasa limeisha...

Shukran mkuu let's me do once again!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…