Inverter (Power Supply)

Akili Unazo!

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2009
Posts
3,930
Reaction score
4,912
Wakuu msaada wenu kuhusu hiki kitu kinachoitwa inverter (Power Supply).Nimesikia kutoka kwa baadhi ya watu kuwa kinweza kusupply umeme kama Solar.

Mwenye uelewa zaidi naomba anisiadie maake ninapoishi Tanesco wameleta ukiritimba kuliko maelezo tumejitahidi kufuata utaratibu wote wa kuomba umeme lakini imekuwa ngumu tukeleza kwa hiyo katika pitapita njiani nikasikia hiki kifaa kinaweza kunisaidia especial nikipata cha watt 1000.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…