TV4Sale Inverter ya 3000W pamoja na Controller yake vinauzwa

Premij canoon

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2018
Posts
1,203
Reaction score
2,771
Salaam Wanajukwaa, Nina shida ya haraka,Nauza inverter pamoja na controller yake vyote kwa pamoja kwa Tsh 250,000/=!

Inverter inaukubwa wa 3000W.

IMG_0466.jpg

IMG_0467.jpg

IMG_0469.jpg

IMG_0470.jpg

IMG_0471.jpg

IMG_0473.jpg

IMG_0474.jpg

Kwa alie serious tuwasiliane kwa :-
Whatsap : 0763708877
Call : 0753767717
 
Huu ni mtambo wa kutoa umeme, ni zaidi ya solar, inauwezo wakupeleka umeme hadi nyumba 3 na mkatumia kila kitu kwenye nyumba kama kwenye umeme wa Tanesco
 
Toa maelezo vizuri
Kama unamueli.isha mtu kitu ambae hajui kabisaa unatakiwa kujieleza vizuri kwa mfano
Unaposema NI mtambo was kutoa umeme unamaanisha nn?

Umeandika huo mtambo unaitwa inventer je una invent Nini?

Unaffanyaje kazi mpaka hzo nyumba tatu zpate umeme?

Unadumu kwa muda gani no

Sana Sana umeeleza NI zaidi ya solar Sasa umeombwa utoe ulinganisho?
 
Mkuu mimi sio fundi au mtaalamu wa hivi vitu, mimi nilinunua ili kuifunga nyumbani kwangu kuepuka adhaa na kero za tanesco, natamani ningekujibu maswali yako lakini ufahamu wa hayo sina, Naomba wadau wanaofahamu haya wakupe majibu.
 
Toa maelezo vizuri
Kama unamueli.isha mtu kitu ambae hajui kabisaa unatakiwa kujieleza vizuri kwa mfano
Unaposema NI mtambo was kutoa umeme unamaanisha nn?

Umeandika huo mtambo unaitwa inventer je una invent Nini?

Unaffanyaje kazi mpaka hzo nyumba tatu zpate umeme?

Unadumu kwa muda gani no

Sana Sana umeeleza NI zaidi ya solar Sasa umeombwa utoe ulinganisho?
Halafu ametoa maelezo ya uongo ili mradi auze hiyo biashara yake.
Inverter haina uwezo wa kutoa umeme yenyewe bila vyanzo vingine vya umeme,kazi ya inverter ni kubadilisha DC voltage kuwa AC voltage tu na si vinginevyo.
Yaani ni lazima kuwe na chanzo kingine cha nishati/umeme kama solar au battery ndio zizalishe umeme halafu hiyo inverter ndio ifanye kazi ya kuubadilisha.
 
Bora umetuelimisha
 
Ni kweli kabisa alafu iyo inverter kwakwel ni kuuuubwaaa yaani unatakiwa uwe na betri za N 150 mbili ili uwenjoy na uwe na kioo yani solar wat 200 au wat 150 mbili
 
Back
Top Bottom