Premij canoon
JF-Expert Member
- May 27, 2018
- 1,203
- 2,771
kama kijijini sawamkatumia kila kitu kwenye nyumba
Salaam Wanajukwaa, Nina shida ya haraka,Nauza inverter pamoja na controller yake vyote kwa pamoja kwa Tsh 250,000/=!
Inverter inaukubwa wa 3000W.
View attachment 1585526
View attachment 1585527
View attachment 1585528
View attachment 1585529
View attachment 1585530
View attachment 1585531
View attachment 1585532
Kwa alie serious tuwasiliane kwa :-
Whatsap : 0763708877
Call : 0753767717
Toa maelezo vizuriHuu ni mtambo wa kutoa umeme, ni zaidi ya solar, inauwezo wakupeleka umeme hadi nyumba 3 na mkatumia kila kitu kwenye nyumba kama kwenye umeme wa Tanesco
Toa maelezo vizuri
Kama unamueli.isha mtu kitu ambae hajui kabisaa unatakiwa kujieleza vizuri kwa mfano
Unaposema NI mtambo was kutoa umeme unamaanisha nn?
Umeandika huo mtambo unaitwa inventer je una invent Nini?
Unaffanyaje kazi mpaka hzo nyumba tatu zpate umeme?
Unadumu kwa muda gani no
Sana Sana umeeleza NI zaidi ya solar Sasa umeombwa utoe ulinganisho?
Halafu ametoa maelezo ya uongo ili mradi auze hiyo biashara yake.Toa maelezo vizuri
Kama unamueli.isha mtu kitu ambae hajui kabisaa unatakiwa kujieleza vizuri kwa mfano
Unaposema NI mtambo was kutoa umeme unamaanisha nn?
Umeandika huo mtambo unaitwa inventer je una invent Nini?
Unaffanyaje kazi mpaka hzo nyumba tatu zpate umeme?
Unadumu kwa muda gani no
Sana Sana umeeleza NI zaidi ya solar Sasa umeombwa utoe ulinganisho?
Bora umetuelimishaHalafu ametoa maelezo ya uongo ili mradi auze hiyo biashara yake.
Inverter haina uwezo wa kutoa umeme yenyewe bila vyanzo vingine vya umeme,kazi ya inverter ni kubadilisha DC voltage kuwa AC voltage tu na si vinginevyo.
Yaani ni lazima kuwe na chanzo kingine cha nishati/umeme kama solar au battery ndio zizalishe umeme halafu hiyo inverter ndio ifanye kazi ya kuubadilisha.
Halafu ametoa maelezo ya uongo ili mradi auze hiyo biashara yake.