Samahani Mkuu kama nimekukwaza!
Lakini kwenye hii biashara lazima ujiprepare kuulizwa maswali mengi na mengine yasiyokuwa na tija,hii ni kutokana n pesa nyingi kuhusishwa,wengine inaweza kuwa ni life saving or half of your salary for the next thirty years.
Kuniambia nifungue thread ya wizi... kwa upeo wangu nilichopost hapo juu naona kiko kwenye mtiririko wa hii thread.