Ibang
Senior Member
- Dec 15, 2011
- 121
- 23
Wakuu katika pita pita zangu nilikutana na jamaa mmoja ambaye ni investment banker ambaye alishawahi kuja hapa kwetu the guy told be katika biashara ambayo watu wengi huwa wanaidharau ni investment business iwe angel investment business au venture investment business
Akazidi kusema kwa africa kwa nchi zinazoendelea ni moja ya bonge la biashara ambayo after 10-15 inaweza kukufanya ukawa warren buffet wa africa
Akaenda mbali zaidi akasema kuwa cha msingi ni kujua wapi pa ku invest na ni kampuni gani ya kuinvest
Akatoa sector moja ya ku invest akasema ni kwenye constructions na kwenye infrastructures na sehemu ambazo amesema ni choo cha kike ku invest akasema ni kwenye makampuni ya ndege
So nikakaa nikafikiria nikasema investment company its a real deal???
Nikawaza jamaa zangu humu kina komandoo, entreprenuer, kuwa they can have something to share kuhusu hii business....
By the way
Honestly kilichoni tregger emotions mpaka kuandika hii jamaa akasema ferrarri nyingi europe, middle east, na ma estate mengi unayoyaona europe middle east sio ya ma Ceo wa kampuni wala nini ni ya ma investors wa hayo makampuni...
Je ni real deal kwa Tanzania yetu inayoendelea na Africa kwa ujumla??