Hii kali,ila waliowengi mbona wanpenda kukonyezwa jamani!!!!!!!!!
Mkuu Mateso, ulipotelea wapi? Yaani tangu umeingia humu JF mwaka jana mwezi August una mabandiko matatu tu? Au huwa unaingia kwa ID nyingine?
mateso has no status.
Junior Member
Join Date: Wed Aug 2008
Posts: 3
Rep Power: 0
Thanks: 0
Thanked 0 Times in 0 Posts
Credits: 695
Utamu wa asali upo kwa mwonjaji... Kumbe wote mnaona nakonyeza? Mbona mi sijioni?Sheria bado ipo ila mpaka mkonyezwaji aweze ku-prove beyond no doubt kwamba mkonyezaji alikusudia kufanya hivyo.