Mkuu ulituahidi kuwa utarudisha chat room alhamis.....nilikumbuka lakini nikajua utakua unamalizia malizia kuirekebisha.....na pia shughuli za uchaguzi zimepungua kidogo.....na week end ndio hii lazima tuwasiliane kupitia chat rum.....pleeeeeez :couch2:
sawa preta nakumbuka ntairudisha sasaivi
i wish aseme hivo
preta... mgongo uko wapi?Mkuu ulituahidi kuwa utarudisha chat room alhamis.....nilikumbuka lakini nikajua utakua unamalizia malizia kuirekebisha.....na pia shughuli za uchaguzi zimepungua kidogo.....na week end ndio hii lazima tuwasiliane kupitia chat rum.....pleeeeeez :couch2:
Preta kila nikiangalia hiyo picha najikuta natenda dhambi bila kukusudia
Preta kila nikiangalia hiyo picha najikuta natenda dhambi bila kukusudia
We're working on something NEW na si ile ya zamani!
Nakumbuka SANA zaidi ya mnavyofikiria; na vitu vizuri tukivitoa kwa kukurupuka tutaharibu.
Akiapishwa rasmi Mhe. Lipumba kama rais wa Tz hiyo kesho basi tutahakikisha kila kitu kinaenda sawa. Au tuilete mpya kwa namna ilivyo mtavumilia bugs ndogondogo?