Invisible nakukumbusha

Preta naona sijui huyo binti kaficha nini huko hebu mwambie ajaribu ku-stretch miguu yake tuone itakuwaje:smile-big::bowl::bowl:

unataka kuona vitu vilivyopo eeeeh.....naogopa kumwambia inviii akisikia ataban yeye
 
Preta kila nikiangalia hiyo picha najikuta natenda dhambi bila kukusudia

kama ni hivyo shem itabidi niondoe...ipi sasa bora....mgongo au miguu
 

tahnks mkuu.....tutavuta subra ya kusubiri....we tengeneza kabisa bugs waishilie kule
 
Uapisho wa Lipumba tena????????????????????!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Mkuu ulituahidi kuwa utarudisha chat room alhamis.....nilikumbuka lakini nikajua utakua unamalizia malizia kuirekebisha.....na pia shughuli za uchaguzi zimepungua kidogo.....na week end ndio hii lazima tuwasiliane kupitia chat rum.....pleeeeeez
Hasa mimi ukizingatia tuna mihadi!
 

Bila shaka ina maana hatutaipata hiyo huduma - joking
 
@ NN nipo na Preta hapa counter tumevaa top za njano wote, wewe umevaaje
 
We ikawaje jana tumekusubiri pale JJ hukutia timu?

Nilikuwa Calabash namsubiri Preta....Komredi Fidel hakuwaambia? Sasa kwa vile Preta hakutokea basi nikajivinjari na Diana (samahani Teamo...kuanzia sasa inabidi heshima iwe mbele kama shem lol)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…