Ndugu robot Invisible , umeadimika sana baba, nimekumiss, huonekani jukwaani tena.
He, umetekwa na wasio julikana?
Je umekumbwa na sakata la vyeti feki?
Sema neno moja baba na nafsi zetu zitaburudika.
Heri ya mwaka mpya moderators, waendesha forum hii na members wote kwa ujumla wetu