Invisible yupo wapi siku hizi?

Kwani zamani alikuwaga wapi?..mtu anaitwa invicible halafu unatamfuta
 
Naona unatafuta BAN kwa nguvu zote.
Ngoja aje.
 
Mzee wa ficha upumbavu wako hahaha.
Kipindi nikirudi likizo nilikuwa nasoma sana nondo zake kwa simu ya mama hahaha,
Now kawa mod kule jukwaa la chini kabisa(nahisi mmeelewa)
Yukowapi Bazazi pia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…