MimiT JF-Expert Member Joined Feb 3, 2012 Posts 599 Reaction score 388 Apr 24, 2012 #1 nataka nianzishe biashara ya kutengeneza kadi za mialiko,harusi na shughuli nyingine. Nahitaji kujua wapi wanauza hizo card zile nzuri sana na ni expensive unaweza kukuta kadi moja buku tano na kuendelea. msaada tafadhali
nataka nianzishe biashara ya kutengeneza kadi za mialiko,harusi na shughuli nyingine. Nahitaji kujua wapi wanauza hizo card zile nzuri sana na ni expensive unaweza kukuta kadi moja buku tano na kuendelea. msaada tafadhali
MimiT JF-Expert Member Joined Feb 3, 2012 Posts 599 Reaction score 388 Apr 25, 2012 Thread starter #2 ndo nini mmenichunia?