Cathode Rays
JF-Expert Member
- Nov 3, 2011
- 1,738
- 1,495
Nipe hiyo kazi kampuni ya ujenzi ipo! Documents check na website ya PPRA au check me kwa mail mgumu19@gmail.comNdugu habari za shughuli,
Kwenye taasisi ninayofanya kazi tuna mpango wa kufanya ujenzi wa majengo kadha wa kadha ikiwamo majengo ya utawala kwa fedha yenye thamani kama ya 160M na nilipenda kama mngenisaidia kupata document simple to kwa ajili ya tendering.
Naamini kupata msaada wenu kwa haraka kadri mtakavyoweza. Ahsanteni
Madesa kila sehemuNdugu habari za shughuli,
Kwenye taasisi ninayofanya kazi tuna mpango wa kufanya ujenzi wa majengo kadha wa kadha ikiwamo majengo ya utawala kwa fedha yenye thamani kama ya 160M na nilipenda kama mngenisaidia kupata document simple to kwa ajili ya tendering.
Naamini kupata msaada wenu kwa haraka kadri mtakavyoweza. Ahsanteni
Madesa kila sehemu
Ili kazi ya BOQ iwe nzuri,nakushauri upate msaada wa kitaalamu kutoka kwa engineering consultants. Watakusaidia katika structure and services design. Kuna consulting engineers naowafahamu, if you need their assistance, just pm me. Ukiingia kichwa kichwa utaingizwa mjini. Kuna watu wanafanya kila kitu mpaka kufufua watu.
And again, contractor sio consultant, so be careful as well!