Tunafurahi kukualika uwe sehemu ya sherehe ya mwaka mmoja wa ukuaji wa SmartBusiness program ya usimamizi wa biashara ndogo na za kati (SMEs) kote Afrika.
Katika webinar hii, utapata kusikia moja kwa moja kutoka kwa mwanzilishi na timu ya SmartBusiness kuhusu safari ya SmartBusiness, mafanikio yake, na athari kubwa ambayo imekuwa nayo kwa maelfu ya biashara nchini Tanzania, Kenya, Nigeria, Ghana, Uganda, Zambia, na Afrika Kusini. Pia utapata kuona kwa kipekee mipango yetu ya baadaye na vipengele vijavyo ambavyo vitaendelea kuboresha mwelekeo wa biashara ndogo na zakati Africa.
Nini cha Kutarajia:
Muda: Saa 06:00 PM EAT
Mahali: Google Meet
Ikiwa wewe ni mtumiaji wa sasa, mshirika, mwekezaji, au unataka tu kujua jinsi SmartBusiness inavyosaidia biashara kustawi, tungependa uungane nasi!
Tafadhali jaza fomu hii ili kujisajili na kuhifadhi nafasi yako.
lu.ma

- Historia na maono ya SmartBusiness
- Maonyesho ya moja kwa moja ya vipengele muhimu na updates za hivi karibuni
- Ushuhuda kutoka kwa watumiaji wa SmartBusiness
- Ufahamu kuhusu ukuaji wetu, utendaji, na upanuzi wa soko
- Fursa ya kuuliza maswali
Muda: Saa 06:00 PM EAT
Mahali: Google Meet
Ikiwa wewe ni mtumiaji wa sasa, mshirika, mwekezaji, au unataka tu kujua jinsi SmartBusiness inavyosaidia biashara kustawi, tungependa uungane nasi!
Tafadhali jaza fomu hii ili kujisajili na kuhifadhi nafasi yako.
The First Anniversary Webinar of SmartBusiness · Luma
We are excited to invite you to celebrate 1 year of growth, innovation, and impact with the SmartBusiness app, a flagship product from PeL designed to empower…