Mimi hadi wazazi walikuwa wanashangaa Nikiwa shule. I never beg for money. Hadi wao wakitaka kunipa. Ila kuna watu wamejujengea kuishi kwa Kuomba omba hata akiwa nayo. Mimi nasaidia where possible. Hata wiki mbili zilizipita mshikaji kajikopesha 50k kwamba atarudisha in 4 days. hata sasa hajafanya hivyo. Kawaida sidai ila najua hatarudi tenaKumbuka na wewe ulipiga simu za kuomba hela
Sasa unataka kulipiza mkuu?
Maana halisi ya hustler ni kumkata mtu asiyerudisha alichoazima kutoka kwakoMimi hadi wazazi walikuwa wanashangaa Nikiwa shule. I never beg for money. Hadi wao wakitaka kunipa. Ila kuna watu wamejujengea kuishi kwa Kuomba omba hata akiwa nayo. Mimi nasaidia where possible. Hata wiki mbili zilizipita mshikaji kajikopesha 50k kwamba atarudisha in 4 days. hata sasa hajafanya hivyo. Kawaida sidai ila najua hatarudi tena