Inzi wa kijani hawezi kuwa na content hadi amseme mnyama

Inzi wa kijani hawezi kuwa na content hadi amseme mnyama

Wanasema kichaka kinaenda fyekwa sasa sijui mtajifichia wapi
 
Kumbe ndo kauli mbiu ya msimu wenu huu...vichaka vitafyekwa?? Vichaka vipi hivyo? Hii nayo kali kutoka utopoloni
 
Kumbe ndo kauli mbiu ya msimu wenu huu...vichaka vitafyekwa?? Vichaka vipi hivyo? Hii nayo kali kutoka utopoloni
Lakini mlianzisha wenyewe, tunacheza shirikisho lakini tunashika nafasi ya saba kwenye rank ya CAF.

Kichaka cha Group Stage kilishafyekwa, Cha Robo fainali pia, Safari hii kichaka cha Rank Za Caf tutahakikisha hamna kichaka cha kujificha.
 
Back
Top Bottom