Ni kweli mkuu kaiachia na ni urgent security update. Kuipata fanya hivi Settings > General > Software Update au download ipsw file update via itunesSalaam Wadau!
Nimesikia fununu kuwa Apple wameachia Security Update kwa ajili ya Vifaa vyao vya zamani. Mfano simu ya 5s, Ipad 2 nk.
Kuna yeyote mwenye hizi news?
cc: Chief-Mkwawa
Ukitaka kuidownload weka apple id yako kwenye simu kama iPhone x halafu rudi kwenye simu yako kisha download latest compatible app with your deviceApa na iphone 6 plus lakini inatumia hiyo 12.5.4 ata twitter inakataa ku download mpka uwe na ios 13
Ngoja nijaribu kwa jamaa yangu mwenye iphone 11 afu nirudi niangalie tenaUkitaka kuidownload weka apple id yako kwenye simu kama iPhone x halafu rudi kwenye simu yako kisha download latest compatible app with your device
Aisee iPhone ndo wamefikia huko tena.Apa na iphone 6 plus lakini inatumia hiyo 12.5.4 ata twitter inakataa ku download mpka uwe na ios 13
Sina raha sana na iphone yanguAisee iPhone ndo wamefikia huko tena.
Ndio kawaida yao. Ndio maana Apple wana update simu zao kwa muda mrefu ili kuhakikisha unaweza download apps. Kwa Android hakuna haya mambo. Hata ukiwa na Android 5 Twitter inaingia freshy tuAisee iPhone ndo wamefikia huko tena.