SOLD: iPad 2 tablet inauzwa, bei 800,000/= (pungufu unaongea)

SOLD: iPad 2 tablet inauzwa, bei 800,000/= (pungufu unaongea)

Status
Not open for further replies.

Nsemwas Junior

Senior Member
Joined
Oct 23, 2009
Posts
173
Reaction score
56
Changamkia:

Ipad 2 apple; Capacity 58 GB. Version 5.1.1. Model MC 775C. Serial number DLXGP1FTDFJ. Modem firmwire 04.12.01. Bei ni 800,000 tu, used but it is in very good condition. Check with the owner 0787 432596 or whatsapp on 0683 796778. Haina tatizo lolote la kiufundi.

Tuwasiliane!

 
Angalia hizo bei angalia na yako tafakari!
1.png

32.png

232.png

332.png

322.png
 
hiyo bei si mchezo...iPad 2? na 58GB ndiyo leo naskia
 
Hii mtu analeta tangazo then mwingine anakuja ku-interfere kwa kuweka bidhaa nyingine cjui ni ustaarabu wa wapi huu???
 
Hii mtu analeta tangazo then mwingine anakuja ku-interfere kwa kuweka bidhaa nyingine cjui ni ustaarabu wa wapi huu???

kaka jukwaa hili si la matangazo mtu akikosolewa humu ni kitu cha kawaida sababu tunaelimishana. unaruhusiwa kabisa kumkosoa mtu ilimradi tu usimkashifu au kumvunjia heshima.

aliekosea ni mtoa mada kueka tangazo humu badala ya jukwaa la matangazo
 
Wewe mleta mada hiyo bidhaa unayouza una hakika ni iPad halisi?

Je ni iPad 2nd generation au iPad 2 Air?

Mbona hiyo model number haina uhusiano na matoleo ya iPad?

Vipi na hiyo memory capacity, mbona Apple hawana toleo lolote la iPad kwa kiwango hicho?
 
Hii mtu analeta tangazo then mwingine anakuja ku-interfere kwa kuweka bidhaa nyingine cjui ni ustaarabu wa wapi huu???
yaelekea wewe na mleta mada ni dugu moja ila pole yenu maana mmepotea njia kuja huku Tech hua hatupigwi kibwege hivyo
 
Ndugu,

Ni biashara huru so aliyenichallenge kwa bei pia ana haki ya kuelemisha ingawa siwezi kucomment kama ni original hizo au fake ones.Kuhusu bidhaa hii ni original kabisa,kama unahitaji bei inashuka tunaongea na hii ndiyo biashara huria hata ukienda mlimani city unaweza kununua simu kwa laki 4 na mwenzako akainunua simu hiyo hiyo kwa laki 3 kariakoo na yenye ubora huohuo.
 
Aliyenichallenge wa kwanza, i pad 4 sh laki nne na nusu halafu brand new????Hiyo samsung mobile phone au tecno phantom...acha utani wewe.Hupati hata hii ipad 2 mpya kwa hata laki tano dukani.That is a lie
 
Wabongo tunapigwa ela nyingi bila hata kujua, kabla ya kununua kitu fanya ka utafiti kwanza ujue bei zikoje, watu wengi wakisikia ipad iphone wanajua bei juu, kumbe bei ni za kawaida tu kwa used ones, kuna mtu kipindi cha nyuma aliweka post anauza iphone 5 laki 5 watu wakawa wanamashaka kwasababu wameshazoea kusikia bei kubwa kubwa, mi nawashauri muwe mnatembelea haya ma group fb Deals in dar, na Deals in dsm muone trend za bei za gadget zinavyoenda sio mnauzia majina tu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom