M Mcgregor Member Joined May 3, 2013 Posts 79 Reaction score 5 May 5, 2014 #1 zipo mbili zina miezi miwili tu tangu zitoke uk, kiujumla bado muonekano mpa kabisa, serious buyers please nitumie text
zipo mbili zina miezi miwili tu tangu zitoke uk, kiujumla bado muonekano mpa kabisa, serious buyers please nitumie text
M Mcgregor Member Joined May 3, 2013 Posts 79 Reaction score 5 May 6, 2014 Thread starter #2 Kwa maelezo ya ziada tu kwa wasiozifahamu hizi ndo latest Ipad ambazo kampuni ya Apple imezitoa mwishoni mwa mwaka jana, ni Ipads bora kuliko zote kwa sasa duniani
Kwa maelezo ya ziada tu kwa wasiozifahamu hizi ndo latest Ipad ambazo kampuni ya Apple imezitoa mwishoni mwa mwaka jana, ni Ipads bora kuliko zote kwa sasa duniani