Ipad Naitupa Hiyo

Ipad Naitupa Hiyo

Raggy Singo

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2015
Posts
308
Reaction score
292
Nauza iPad hiyo hapo,jipangie bei. Alikuwa anatumia demu Canada,nikazinguana naye nikarudi nayo Dar,so password kipengele..

Kama upo serious nicheck 0717281088 au 0625697394

Nipo Kigamboni,Dar es salaam Tanzania.View attachment 2672145View attachment 2672146View attachment 2672147View attachment 2672149
20230628_145459.jpg
 
Onyo siku hizi kuna katabia unauziwa watu wanarudi tena polisi wakiripoti wameibiwa.
mchezo huu ulikuwa kwenye magari na simu.

hakikisha mnaenda polisi kuandikishana ili ikitokea polisi ndio kijumbe
 
Wanaume tunapungua kwa kasi sana! Yani mpaka walio enda mbele tunao amini wamestaharabika bado wana akili kuliko vishandu wa bodaboda[emoji23][emoji23][emoji1787]
FB_IMG_16878916724626718.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom