iPad za sumsung

iPad za sumsung

Kweli kabisa hiyo Ipad sumsung huwezi pata popote pale duniani mkuu......hata uende pluto huwezi kupata.
 
hahaha watu bana wanakua wamekuelewa ila wanakukaushia kwa vijisababu visivyo na maana
 
natafuta ipad ya sumsung mimi Niko mwanza

Mkuu High Vampire ipad ni brand name kwa tablet za apple. Kimsingi kifaa hicho brand nyingine zoote kama sony, azura, acer etc zinaitwa tablet!

So kimsingi unachotafuta ni tablet za samsung.
Ni hayo tu.
 
Last edited by a moderator:
Sema hivi "natafuta tablet ya samsung" mimi nipo Mwanza. ila kama ni ya kichina unayoitafuta utapata hiyo hapo kwenye red.

ya kichina hamna ninunue zaid ya kilo nane nipate ya kichina poa nikienda dar nitatafuta
 
Mkuu High Vampire ipad ni brand name kwa tablet za apple. Kimsingi kifaa hicho brand nyingine zoote kama sony, azura, acer etc zinaitwa tablet!

So kimsingi unachotafuta ni tablet za samsung.
Ni hayo tu.

ndio tablet ya sumsung
 
Last edited by a moderator:
Kijana mm ninayo i pad ya samsung ni mpya brand new kabisa haijafunguliwa. Ni pm tuongee kama utakubali kulipa kwa tigo pesa tutaelewana bei.
 
Toa ushamba wako wa kisukuma hapa..ipad za samsung ndio nini?nenda kavue samaki huko

Kigogo tulia kwanza mkuu tumuuzie dogo i pad ya samsung mimi nnayo mpya kabisa nimemwambia ani pm. Malipo yatafanyika kwa m pesa ama tigo pesa then anatumiwa mzigo wake
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom