High Vampire
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 2,915
- 2,134
Nenda dukani voda tigo au airtel
natafuta ipad ya sumsung mimi Niko mwanza
natafuta ipad ya sumsung mimi Niko mwanza
natafuta ipad ya sumsung mimi Niko mwanza
Sema hivi "natafuta tablet ya samsung" mimi nipo Mwanza. ila kama ni ya kichina unayoitafuta utapata hiyo hapo kwenye red.
natafuta ipad ya sumsung mimi Niko mwanza
Mkuu High Vampire ipad ni brand name kwa tablet za apple. Kimsingi kifaa hicho brand nyingine zoote kama sony, azura, acer etc zinaitwa tablet!
So kimsingi unachotafuta ni tablet za samsung.
Ni hayo tu.
Toa ushamba wako wa kisukuma hapa..ipad za samsung ndio nini?nenda kavue samaki huko
Toa ushamba wako wa kisukuma hapa..ipad za samsung ndio nini?nenda kavue samaki huko
Mimi ninayo dogo ani PMHiyo ipad ya samsung huwezi pata popote duniani, sio hapo CBE Mwanza tu. Pole mkuu
Wewe unataka samsung au sumsung? Zipo hadi semsang yani ni wewe tu uchaguzi wakondio tablet ya sumsung
Toa ushamba wako wa kisukuma hapa..ipad za samsung ndio nini?nenda kavue samaki huko