Hapo umechanganya kampuni mbili tofauti...ni sawa na useme unatafuta Nokia ya Samsung........eleza vizur utapata msaada
ndio tablet ya sumsung
natafuta ipad ya sumsung mimi Niko mwanza
ndio tablet ya sumsung
ya kichina hamna ninunue zaid ya kilo nane nipate ya kichina poa nikienda dar nitatafuta
natafuta ipad ya sumsung mimi Niko mwanza
Kijana mm ninayo i pad ya samsung ni mpya brand new kabisa haijafunguliwa. Ni pm tuongee kama utakubali kulipa kwa tigo pesa tutaelewana bei.