Ipad 16GB kwa bei hiyo sio...nimeingiza mzigo mdogo kipindi hiki Ipad2 16gb mpya kwa 1,050,000. Bb9800 kwa 550,000, iphone 4 kwa 850,000, bb9780 na curve. kwa sasa ni hizo tu mzigo mwingine mkubwa utaingia katikati ya mwezi huu na mwisho wa mwezi karibuni. interested call 0714500004
Hivi US$ 550 ni sh ngapi, coz nimenunua Ipad2 same gigs kwa bei hiyo. (around 900,000)
na pia hiyo iphone 4g kama iko unlocked poa lakini kama sio gharama za kuiunlock hapa bongo bado ni juu TZS 350,000/=