Erick kg JF-Expert Member Joined Feb 22, 2013 Posts 314 Reaction score 73 Jul 30, 2014 #1 ipad2 wifi inauzwa kwa bei ya 350,000 ina internal memory ya 16gb ina back camera na front camera bado ni mpya nakuja na charge yake na pochi yake. kwa masiliano 0717 022737 haitumii line Attachments ipp.jpg 53.4 KB · Views: 130 ipad-2-64gb-3g-wifi-b2794.jpg 14.6 KB · Views: 153 10534539_589229871198465_8587813108431324991_n.jpg 49.8 KB · Views: 130
ipad2 wifi inauzwa kwa bei ya 350,000 ina internal memory ya 16gb ina back camera na front camera bado ni mpya nakuja na charge yake na pochi yake. kwa masiliano 0717 022737 haitumii line
mkalenda JF-Expert Member Joined Jul 10, 2013 Posts 290 Reaction score 23 Jul 30, 2014 #2 Mkuu cheki ipad hiyo vizur!! Ipad wifi tu haina huo mkanda mweus. Chek fresh or am not undrst ina 3g na wifi??
Mkuu cheki ipad hiyo vizur!! Ipad wifi tu haina huo mkanda mweus. Chek fresh or am not undrst ina 3g na wifi??
TIQO JF-Expert Member Joined Jan 8, 2011 Posts 13,786 Reaction score 2,104 Jul 30, 2014 #3 mkalenda said: Mkuu cheki ipad hiyo vizur!! Ipad wifi tu haina huo mkanda mweus. Chek fresh or am not undrst ina 3g na wifi?? Click to expand... Kwa hiyo hii ya kuweka line
mkalenda said: Mkuu cheki ipad hiyo vizur!! Ipad wifi tu haina huo mkanda mweus. Chek fresh or am not undrst ina 3g na wifi?? Click to expand... Kwa hiyo hii ya kuweka line
mkalenda JF-Expert Member Joined Jul 10, 2013 Posts 290 Reaction score 23 Jul 30, 2014 #4 Yah navyo iona kama ni picha zake kweli ni ya kuwema lin labda kama imeharibika haisom lain
K kerewa Member Joined Jul 26, 2014 Posts 5 Reaction score 0 Jul 31, 2014 #5 Unaweza download whatsapp?