INAUZWA Ipambe nyumba yako na home appliances nzuri kwa bei nafuu kutoka kwetu

yani mtu anakuambia eti tupo kariakoo ila tunauzia online[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani ni Kosa kuuza online nachofanya hapa ni online business, sis watanzania tuendelee kudis kila kitu huku watu wakitengeneza ela

Mfano watoto wetu wanapojaribu kufanya kitu wanakoselewa vibaya sana in first place in short negativity is what drag down most of Tanzanians wanaogopa kufanya mambo mengi hata kama yako legal

Furaha ya mtanzania ni kumuona mwenzake anafail ndo maana tunasema hii nchi ni ngumu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…